DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Friday, 28 April 2017

PROGRAMU 10 KALI ZAIDI ZA KUEDIT NA KUTENGENEZA VIDEO

Programu 10 kali zaidi za kutengenezea video.

Leo ningependa kubadilishana mawazo na wewe mwanafamilia ambaye unapenda ku edit au kutengeneza video. Ninajua unajua kwamba ku edit video ni sanaa, na inahitaji kipaji kwa nafasi yake. Hata hivyo software au programu ni muhimu sana na huchukua asilimia kubwa sana katika kufanikisha project yako.



Kumbuka programu nyingi  zimetengenezwa na makampuni kwa ajili ya kuuza/biashara hivyo itabidi ununue, TULIA!! unaweza kupata programu hizo za kuuzwa, BURE pia ingawa ni kwa njia zisizo halali kama kudownload kwa kutumia Utorrent, (maelezo zaidi baadae)

 Sasa kama una malengo ya kutengeneza 'BLOCKBUSTER' movie au video ya harusi au jambo lolote lile, hizi ni programu kali zaidi za ku edit video. 

1. Adobe After Effects

Mfalme wa filamu, ukipenda kuiita hivyo programu hii. Hutumiwa na ma editor wa filau kali duniani kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kufanya visual effects. Hutumika zaidi katika vyombo vya habari wakati wa kuandaa na kuwasilisha taarifa ya habari.



2. Cyberlink PowerDirector 




3. Corel Video Studio Pro X



4. Adobe Premiere Elements




5. Sony Vegas


Programu tano zilizopita ni bora sana. Lakini zote ni kwa ajili ya biashara. Kama nilivyokueleza unaweza kutumia Utorrent au website nyingine ili kupata downloads hizo bure, usisite ku shea na sisi kama unajua nyingine. Programu hizi zifuatazo ni bure kabisaaaa. Lakini nazo bado ni kali pia.

6. LightWorks.

Ukiwa na Lightworks una uhakika wa kufanya mambo mengi. Ni programu ambayo imeboreshwa kwa ajili ya kukupatia wewe matokeo ya kupendeza sana. Moja kati ya faida zake ni kwamba inweza kufanya kazi sehemu ambayo ingekulazimu kutumia programu ghali kama Premiere. Ni ngumu kiasi hivyo usisite kutizama video hizi kujiweka sawa.

Download Lightworks 12(32-Bit)                                  Download Lightworks 12(64-Bit)

7. VSDC FreeVideo Editor


8. Avidemux


9. Virtual Dub


10. Blender


Hii ndiyo programu bora ya bure zaidi duniani trust me. Tutaiongelea hivi karibuni.

Imenilazimu kuandaa list hii haraka kwani walikuwepo watu watano au zaidi waliokuwa waki search program za kutengeneza video. Usijali, na ninaomba radhi lakini nitakuwekea link za kudownload programu zote hizi hivi karibuni ila kwa sasa, Search tu google kwa ajili ya ku download.
Asante kwa kuonesha upendo wa pekee, Karibu.

2 comments:

nejmasblog.com said...

Pongezi kwa Kazi nzuri ya kutuhabarisha naomba historia ya sanaa ya hemedi

uncle three said...

Ahsante!