video
August 12, 2021
TANZIA: WAZIRI JAFO APATA PIGO KUBWA
TANZIA
Mhe. Selemani Saidi Jafo(MB), Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira anasikitika kutangaza kifo cha mama yake HADIJA MWALIMU MADEGA kilichotokea leo katika Hospitali ya Aga Khan Jijini DSM.
Msiba upo Kisarawe mjini.
Innalilah waina ilahi rajiun
Tazama video hapo chini
