DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Showing posts with label upekuzi. Show all posts
Showing posts with label upekuzi. Show all posts

Sunday, 22 August 2021

August 22, 2021

FAHAMU AINA SITA ZA VYAKULA AMBAVYO VIKICHANGANYWA HUGEUKA SUMU.

 

Kifi

Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine.

Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada tu ya kupendelea kuchanganya chakula.

Mtu mmoja anaweza kula sawa na kwa urahisi, ila kwa mwingine kikageuka sumu.

Hali hii huchochewa zaidi na matokeo ya baadae pale unaposhindwa kuweka mchanganyiko sahihi na wenye afya zaidi .

Kila aina chakula ina faida zake, ila kinapochanganywa kinaweza kusababisha shida kwa mtu.

Kwa watu ambao wanataka kuchanganya lishe ili kupunguza unene na vichocheo vyake ni vyema kushauriana na wataalamu jinsi ya kupanga lishe bora.

Mtaalam wa lishe wa Nigeria Habiba Haruna ameiambia BBC kuhusu aina sita za chakula ambazo zinaweza kuwa sumu kwa mtu yeyote.

Samaki na Maziwa

samaki

Samaki na Maziwa ni vyakula vyenye virutubisho lukuki na kuvichanganya katika sehemu moja vinaweza visiwe na uwezo wa kutengeneza virutubisho sahihi na hii inaweza kuleta shida baadaye.

Mwili wa binadamu hauhitaji vyakula vya aina tofauti vyenye kemikali za aina moja kuchanganywa. Huweza kusababisha sumu itakayopelekea mtu kutapika na hata kuharisha.

Maji ya limao na Maziwa

Maziwa na limao huwa haviwezi kukaa sehemu moja kwani vikichanganywa lazima maziwa yaweze kukatika.

Ikiwa mtu atachanganya maziwa na maji ya limao anaweza kutengenezea sumu, vilevile yanaweza kuleta shida katika moyo.

Karanga na Mafuta ya mzeituni

ayaba da gyada

CHANZO CHA PICHA,OTHER

Karanga ina umuhimu mkubwa sana katika mwili wa binadamu na hutumika katika sehemu nyingi sana.

Pia karanga ina kiwango kikubwa sana cha protini na wanga, vilevile Karanga ni moja ya virutubisho muhimu katika lishe, haswa kwa wale ambao wanataka kupunguza uzito.

Kwa mafuta ya mzeituni yanamsaada mkubwa pia hasa katika masuala ya tiba kwa baadhi ya magonjwa, lakini mchanganyiko wa mafuta hayo na karanga yanaleta shida ila inashauriwa kutumika pale moja inapokosekana lakini sio kwa pamoja.

Dawa pamoja na sharubati ya limao

limao

Kuchukua dawa na kuchanganya na kitu chenye gesi ina madhara makubwa, wataalamu wanasema kuwa kunywa dawa na soda kama fanta au Coca-Cola inaweza kukusababishia kifo kutokana tu ongezeko kubwa la gesi.

Ameongeza kwa kusema kuwa limao au kinywanji chochote chenye gesi hakipaswi kuchanganywa na dawa ni hatari.

Nyama na mayai mabichi



Kuchanganya nyama ambayo haijaungwa na mayai mabichi inaweza kusababishia matatizo katika mwili wa binadamu.

Inaweza kuwa sumu kwa wengine, zingine zinaweza kusababisha kutapika na kuhara kwa sababu haifai kutumika hivyo.

Nyama mbichi inaweza kusababisha athari ikiwa usindikaji wake haufuatwi ili kupunguza kiwango cha virutubishi vilivyomo.

Mtaalamu anasema kuwa mayai mabichi hayana virutubisho kwenye mwili wa binadamu, yakiwa bado kwenye hali hiyo hayapaswi kuliwa mpaka pale yatakapochemshwa au kukaangwa ndio hujenga mwili.

"Mayai mabichi sio ya kuyaamini," Anasema Mtaalamu wa chakula kutoka Nigeria, Habiba Haruna.

Wataalamu wanashauri watu kula kile wanajua kitakuwa na faida na haitawasababishia matatizo yoyote.

Kujaribu kitu kipya kunaweza kuwa na faida kwa wengine lakini pia kunaweza kuwa na madhara.

Kuna aina nyingi sana ya vyakula ambavyo vikichangwanywa vinaweza sababisha madhara.

Mtu anapaswa kuwa mwangalifu katika uchaguzi wa vyakula ni vyema aweke vyeme

Saturday, 14 August 2021

August 14, 2021

MIKOA 10 BORA INAYOONGOZA KUWA NA WASOMI WENG: KANDA YA ZIWA YATIA FOR A

Nilikuwa nasoma sehemu moja ya utafiti mikoa kumi iliyotoa wasomi wengi zaidi nchini


1.MKOA WA MARA huu umeshika nafasi ya kwanza ambao unapatikana kanda ya ziwa kwa kutoa wasomi wengi zaidi ambapo mkoa wa mara wanapatikana WAGITA,WAJALUO, WAKURYA NA WAZANAKI ambao kwa kiwango kikubwa ni jamii zilizoenda shule

2.KILIMANJARO huu ni mkoa unashika nafasi ya pili ambapo mkoa unapatikana kaskazini huu umeshikiliwa na makabila mawili makuu WACHAGA NA WAPARE ambao ni wasomi wa kiwango cha juu zaidi na wengi wameenda shule

3.MWANZA ni mkoa upo kanda ya ziwa ambao yanapatikana makabila matatu nayo wasukuma,wazinza na wakerewe ambapo hizi ni moja kati ya jamii zilizoenda shule sana ni jamii zilizotoa wasomi wengi zaidi

4.KAGERA ni mkoa ambao upo kanda ya ziwa yanapatikana makabila manne ambayo ni wangaza,wasubi,watusi wanyambo na wahaya huu ni mmoja kati ya mkoa unashika nafasi ya nne kwa kutoa wasomi wengi zaidi .

5.MBEYA huu ni mkoa unaopatikana kanda za juu kusini ambapo yanapatikana makabila makuu mawili wasafa na wanyakyusa pia mkoa huu umetoa wasomi wengi zaidi licha wengi kuonekana wametokea unyakyusani

6.TABORA ni mkoa unaopatikana kanda ya kati ambapo wenyeji wa mkoa huu ni wanyamwezi, watusi, wasukuma pamoja na wamanyema
pia mkoa huu unashika nafasi ya sita kwa kutoa wasomi wengi zaidi licha wengi kuonekana wanyamwezi

7.ARUSHA huu ni mkoa wanaopatikana wameru, waarusha, wamasai mkoa huu upo kanda ya kaskszini pia mkoa huu unasemekana kutoa wasomi wengi zaidi


8.RUVUMA ni mkoa ambao wenyeji wake ni wangoni,wamatego na wamatumbi huu ni mkoa ambao umetoa wasomi wengi zaidi wengi wao wakionekana kutokea jamii za kingoni

9.IRINGA huu ni mkoa ambapo upo nyanda za juu kusini ambao wenyeji wake wengi ni wahehe,wabena, wanyarukoro,wakinga huu ni mkoa ambao umetoa wasomi wengi zaidi wengi wakitokea jamii za wakinga na wabena

10.KIGOMA huu ni mkoa unaoshika nafasi ya kumi ambapo wenyeji wa mkoa huu ni waha,wamanyema, wabwaliii, wabangubangu, watusi pia kigoma ni miongoni ya mikoa iliyotoa wasomi wengi zaidi

Thursday, 12 August 2021

August 12, 2021

TIBA RAHISI YA CHANGO LA UZAZI NA MATATIZO YA UZAZI

 MKUNDE PORI KIBOKO YA UZAZI/UTASA



MIZIZI YA MKUNDE PORI NA FAIDA ZAKE

■ Inasafisha kizazi

■ Inazibua mirija iliyoziba

■ Inaondoa sumu kwa wale waliotumia sindano za uzazi/vidonge vya uzazi.

■ Inakomaza mayai kwa wale wenye tatizo la mayai kutokukomaa na kusababisha mayai kutokupevuka

■ Inasogeza kizazi karibu kwa wale ambao vizazi vyao vipo mbali

■ Majani ya mkunde pori pia ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume

• Dalili mojawapo itakayokufanya ujue dawa hii ya mkunde pori inafanya kazi ni kwenda haja ndogo mara nyingi kuliko kawaida.
• Dalili nyingine ni tumbo kuvuta sana chini ya kitovu.
Usipoona dalili hizi usiogope maana ukubwa wa tatizo unatofautiana.


Lakini pia kama unasumbuliwa na chango la aina yoyote ile hasa chango la uzazi, mizizi ya mikunde pori ni dawa ya matumbo ya chango ambalo ni tatizo kubwa linalowakumba wanawake wengi kaytika kizazi cha sasa



Jinsi ya kuandaa dawa. 

chukua mizizi ya mikunde pori, osha viziri kwa maji safi kisha chemsha kwa muda wa dakika zisizopungua 30 kisha utatakiwa kunywa birauli(glass) moja kutwa mara tatu yaani asubuhi, mchana na jioni. unaweza kunywa kwa siku 5-8

ANGALIZO KWA WANAWAKE WATAKAOTUMIA KWA AJILI YA UZAZI, Ukinywa dawa hii hakikisha siku za hatari unakutana na mwenzi wako...na baada ya hapo usitumie dawa mpaka upime mimba kwanza maana mimba nyingine dalili zake huchelewa kuonekana hivyo unaweza ukanywa tena mimba kama imeingia ikatoka.


ANGALIZO
Wajawazito hawaruhusiwi kutumia.

Wednesday, 11 August 2021

August 11, 2021

BIASHARA YA UUME WA NG'OMBE KUPAMBA MOTO DAR ES SALAAM


 Dar es Salaam. Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni! Msemo huu unajidhihirisha baada ya kauli ya Onesmo Mbasha, ambaye ni mmoja wa vijana wanaouza bidhaa mbalimbali zitokanazo na wanyama zikiwamo sehemu za uzazi za ng’ombe dume zinazojumuisha uume na korodani.

Zipo taarifa kuwa viungo hivyo vya ng’ombe ni maalumu kwa ajili ya kutengenezea nyuzi zinazotumika kuwashonea watu waliopata ajali na chakula kinachotumika zaidi nchini China.

Daktari wa mifugo kutoka The Old Farm House, Wilfred Hongoli anasema uume wa ng’ombe unaweza kutumika kutengenezea nyuzi za kushonea binadamu au mnyama pale anapopata majeraha au kufanyiwa upasuaji.

“Nyuzi zinazotengenezwa na bidhaa hiyo huwa na tabia ya kubaki mwilini hata baada ya jeraha kupona, tofauti na nyingine ambazo lazima zitolewe baada ya jeraha kupona,” alisema.

Hata hivyo, Onesmo anasema kabla ya kuanza biashara hiyo alikuwa na biashara ya nguo alizokuwa akizitoa Mombasa nchini Kenya na kuziuza katika Soko la Kariakoo.

Source; gazeti la Mwananchi 

Monday, 9 August 2021

August 09, 2021

MWANAFUNZI KIDATO CHA TATU AMUUA MPENZI WAKE KWA KUMCHOMA KISU.



Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya upili ya Aneko katika Kaunti ya Migori Jumapili jioni alichomwa kisu hadi kufa na mpenzi wake kufuatia mzozo unaoshukiwa kuwa wa kimahusiano.


Mkuu wa eneo hilo David Okoth alisema msichana huyo mwenye umri wa miaka 17 alikuwa anatoka shuleni wakati mpenzi huyo wa miaka 20 ambaye alikuwa amejihami kwa kisu na kumchoma hadi kufa.

August 09, 2021

ASKOFU GWAJIMA AZUNGUMZIA SUALA LA YEYE KULISHWA SUMU KISA SAKATA LA CHANJO YA CORONA

 


Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima mbaye pia ni mbunge wa jimbo la Kawe jijini Dar es salaam amekanusha madai kuwa amelishwa sumu kutokana na msimamo wake kuhusu chanjo ya UVIKO -19.

Akizungumza jana Jumapili Agosti 8, 2021 wakati wa ibada kanisani kwake kuwa hajalishwa sumu nahakuna wa kumnywesha sumu na hatotokea.

"Wanataka kusingizia watu, labda kusingizia kwamba serikali imeninywesha sumu. Niwahakikishie kwamba hakuna serikali imemnywesha sumu Gwajima kwa kuwa serikali ndiyo inasema chanjo ni hiari. Suala la afya ya mtu linapaswa kulindwa na mtu mwenyewe. Labda nitoe changamoto kwa wanaojiita watalaam waje walete andiko linaloonyesha kemikali zilizopo kwenye chanjo", amesema Gwajima

Sunday, 8 August 2021

August 08, 2021

MADHARA YA KUFANYA MAPENZI WAKATI WA HEDHI

 Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri kwa afya ya wote wawili.Hivyo kwa ushauri huwa tunapenda watu wajari sana afya zao na si kuzidumaza na kuendekeza hisia kwani hiloo ndilo kosa kubwa la vijana wengi wa siku hizi...

Zifuatazo ni baadhi ya madhara yanayoweza kutokea endapo wawili hawa wakafanya ngono wakati KE yupo katika siku zake{period}.. 

 MADHARA KWA MWANAUME.
1.Kupata maambukizi katika njia ya mkojo hadi kwenye kibofu.

 2.Maambukizi katika tezi dume(Prostetits) hii inaweza kuathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume.

 3.Kuziba kwa njia ya mkojo.

 4.Utasa au ugumba.

 5.Ulegevu wa misuli ya uume na upungufu wa nguvu za kiume.

 6.Athari mbaya ya kisaikolojia kwa kuwa anafanya tendo katika mazingira machafu hali itakayompelekea kutolifurahia tendo kutokana na hali ya umaji maji,utelezi, au harufu kali na mbaya na hivyo kuona kuwa mwanamke ni mchafu.Pia hali hii ikizidi inaweza kuathiri hata hufanyaji wa tendo katika siku za kawaida sio za hedhi.

MADHARA KWA MWANAMKE.

1.Kupatwa na mambukizi viungo vya ndani vya uzazi kama vile shingo ya kizazi,mirija ya uzazi kwa ujumla wake anaweza kuwa na tatizo la PID( PELVICINFLAMATORY DISEASES) tatizo ambalo linaweza kuathiri mfumo wake wa uzazi.

 2.Maumivu makali ya tumbo hasa kwa wale wanaopatwa na maumivu wakati wa hedhi.(Dysmenorrhea).

 3.Utokaji wa damu unaweza ukaongeza kuliko vile inavyotoka kwa kawaida yake.

 4.Utasa au Ugumba.

 5.Kuvimba kwa kuta za ndani za uke kwa kuwa wakati wa hedhi zenyewe huwa tayari zimevimba au kutanunuka hali pia itamsababishia maumivu kwenye uke wakati wa tendo la ndoa.

 6.Athari mbaya ya kisaikolojia:Mwanamke atahisi kuwa mumewe hamjali wala mpendi bali anajali hisia zake za kingono na kwamba yeye anatumika kingono tu.Pia kuona kuwa mumewe ajali afya yake pamoja na maumivu anayoyapata lakini bado huyu mume anataka kusex.

August 08, 2021

TIBA RAHISI YA VIDONDA VYA TUMBO KWA KUTUMIA MATUNDA

 Vidonda vya tumbo moja wapo ya tatizo lishambulialo idadi kubwa ya watu wakiwemo wanafunzi na wafanyakazi maofisini.

Leo nimeamua kudokeza kidogo juu ya matunda ambayo huzuia na kusaidia kuondokana na tatizo la vidonda vya tumbo.matunda hayo ni kama vile:-
                            MATANGO
Ulaji wa matango kwa wingi  husaidia kuondoa vidonda vya tumbo.hivyo basi kama wewe ni mhanga wa vidonda vya tumbo unaweza kulifanya tunda la tango kuwa sehemu ya mlo wako kila ulapo.
            
                         MAPARACHICHI
Maparachichi pia hufanya kazi sawa na matango katika kupambana dhidi ya vidonda vya tumbo.
      
             
                     KOKOMANGA
Chukua kokomanga zitwange kisha changanya na na Asali then tumia vijiko viwili vya chakula kwa siku(yaani kimoja asubuhi na kimoja usiku) kwa muda wa siku 21.


Licha ya matunda hayo pia unashauriwa kunywa maji mengi kila siku ili kuepuka vidonda vya tumbo.kwa mujibu wa wataalamu wanashauri utumie maji angalau zaidi ya lita mbili kwa siku ili 
August 08, 2021

SIRI KUBWA JUU YA VIRUSI VYA CORONA

 CORONA VIRUS

AJENDA YA (2021-2030) YA FREEMASONS KUTOKA MWAKA 1776 MPAKA MWAKA 2030 NA PUNGUZO LA WATU DUNIANI.

Tuangalie kile kinachojulikana kama ajenda 21-2030 ya Illuminati iliyoandaliwa na Profesa. Adam Weishaupt, aliyeandaa mpango ujulikanao kama Long Term Plan, yaani mpango wa muda mrefu ,ukiwa ni mkakati maalum wa kuutawala ulimwengu chini ya dini na Serikali moja ya dunia.
Mpango huo unaitwa "Agenda 21-2030 and illuminati New World Order " inamaanisha hitimisho la kutekelezwa kwa ajenda 36 ndani ya karne ya 21 hususani katika kipindi kuanzia mwaka 1776 hadi mwaka 2030. Hiki ni kipindi cha miaka 254 yaani(2+5+4=11) iliyowekwa na Profesa Adam weishaupt aliyeanzisha taasisi ya illuminati mwaka 1776 wakati Marekani ilipopata Uhuru wake, hatua muhimu iliyochukuliwa hivi karibuni katika kutekeleza agenda 21 -2030 ni wakati wa mkutano wa 70 wa Umoja wa Mataifa uliofanyika tarehe 15/Septemba 2015 mjini New York Marekani pamoja na mkutano wa World Economic Forum uliofanyika mwaka 2018 huko Davos nchini Switzerland.
Watu muhimu katika kutekeleza ajenda za wajenzi huru walihudhuria Kwenye mkutano huo kwa lengo la kuwahamasisha viongozi wote kukubali mpango wa kuanzishwa kwa Serikali moja ya dunia haraka iwezekanavyo hata hivyo taarifa hizi hazitolewi kwa uwazi na vyombo vikubwa vya habari zaidi ya kuzipata kutokana na juhudi za watu binafsi wanaochunguza mwenendo wa juhudi za wajenzi huru katika kufanikisha mpango wa muda mrefu uliowekwa na Profesa. Adam Weishaupt.
Tukichunguza kwa umakini na kuhusianisha matukio yanayoendelea kutokea duniani, basi ni wazi kwamba tutakuwa tunajionea wenyewe jinsi mpango wa ajenda 21-2030 unavyofanya kazi, idadi ya watu inatakiwa kupungua na kufikia watu milioni 500 ambao watawatumikia mabwana wachache katika Serikali moja ya dunia.
Ili kufanikisha hili wajenzi huru walianzisha Sera za Ubaguzi wa rangi kusababisha machafuko sehemu mbalimbali,mfano, Kongo, Libya, Syria, Rwanda, Sudan, n.k kusababisha wimbi la wahamiaji na wakimbizi, kuhafifisha maadili ndani na nje ya nyumba za ibada, kuondoa Uhuru wa Mahakama ili haki isitendeke, kusababisha hali ngumu ya maisha na kuwafanya raia wote duniani kuwa tegemezi kwa Serikali zao, kuondoa mipaka ya nchi kwa lengo la kuunda majimbo 10 yatakayokuwa chini ya Serikali moja ya dunia.
Kwa nje" 21 Agenda "imepewa jina la " New Universal Calendar" ikijulikana pia kama "Agenda 2030 Program " inayosisitiza watu kufanya kazi kwa pamoja ili kuondoa umaskini duniani chini ya mwamvuli wa kukomesha machafuko, kutokomeza umaskini na kuleta haki sawa, mpango mpya wa ulimwengu utaanzishwa. Bahati mbaya ni kwamba watu wengi hawajui kinachoendelea nyuma ya pazia. Tayari viongozi mbalimbali wa kisiasa na kiroho ikiwa ni pamoja na Papa, wamebariki "Agenda 2030 " na kuunga mkono utekelezwaji wake, lakini ukweli ni kwamba ajenda 2030 ni nyenzo ya illuminati katika kusukuma gurudumu la kuelekea mpango mpya wa dunia ikiwa ni miaka 15 kuanzia mwaka 2015 baada ya mkutano wa Umoja wa Mataifa kumalizika mjini New York.
Hii inamaanisha kwamba ama mwaka 2030 au Kabla ya mwaka 2030 wajenzi huru watakuwa wamekamilisha ajenda 36 na dunia itakuwa inatawaliwa chini ya Serikali na dini moja ya dunia. Lakini hili linategemea iwapo Mungu ataruhusu watekeleze mipango yao katika kipindi walichopanga. Benjamin Disraeli, Waziri Mkuu mstaafu wa Uingereza alisema" The world is governed by people far different from those imagined by the public " akimaanisha kwamba ulimwengu unaongozwa na watu tofauti kabisa na wale wanaodhaniwa na umma kuwa ndio viongozi wao, hao si wengine bali ni illuminati na wajenzi huru, kwa kuwa wanafanya kazi kwa siri, hawahitaji kujitokeza mbele ya umma bali huweka mawakala wao kwenye ofisi na wao wakiwa wanatawala kwa kutumia "Remote Control".
Bilionea wa teknolojia ya software Bwana Bill Gates pamoja na mkewe Melinda Gates wamekuwa wakitoa tamko la kupunguza idadi ya watu kwa kutumia chanjo. siku ya julai 11 2012 wakiwa na uongozi wa Umoja wa Mataifa (UN) pamoja na viongozi wa kiserikali kutoka mataifa mbalimbali waliadhimisha miaka 100 tangu mkutano wa kwanza uliojulikana kama " First international Eugenics Congress " jijini London kwa kufanya hafla iliyohusu uzazi wa mpango "Family Planning " wakiwa na wanaharakati wanaoeneza Sera za utoaji mimba ikiwa ni njia mojawapo ya uzazi wa mpango.
Bill Gates katika hafla hiyo alisisitiza "let's look at each one of these and see how we can get this down to zero, probably one of these numbers is going to have to get pretty near to zero ,That's fact from high school algebra" akaendelea kufafanua "let's take a look ,first we got population ,The world today has 6.8 bilion people ,That's headed up to about 9 bilion people ,Now if we do a real great job on new vaccines , health care, reproductive health services ,we could lower that by perhaps 10 or 15 percent " akimaanisha kwamba ulimwengu una watu wapatao bilioni 6.8 kuelekea bilioni 9 ,sasa kama tukifanya kazi kubwa kwa kutumia chanjo mpya, huduma za afya, tunaweza kupunguza Pengine hadi asilimia 10 au 15.
Mwezi wa 5 mwaka 2012 mfuko wa Gates Foundation ulitoa jumla ya paundi 100,000 kwa watafiti wa Chuo Kikuu kinachoitwa University of North Carolina na Chapel Hill, kwa makusudi ya kutafuta njia ya kudhibiti ongezeko la watu duniani. Mfuko wa Gates Foundation umekuwa ukifanya kazi pamoja na UN na kuweka Sera ya kuwa na mtoto mmoja nchini China, Gates Foundation imekuwa ikifanya kazi na WHO ikiwa ni pamoja na kuwalazimisha akina mama na watoto kupigwa chanjo.
Pia Inafanya kazi na Serikali ya Uingereza ambapo Julai 11 kitengo cha Serikali ya Uingereza, UK Department for International development " kiliandaa Mkutano wa Eugenics International Conference wakati Gates Foundation ulitoa mamilioni ya dola za kimarekani kwa ajili ya chanjo za watoto na akina mama nchini India, Gates Foundation wanafanya kazi pamoja na kuhakikisha akina mama wanafuata uzazi wa mpango hata kwa kutoa mimba(abortion).
Bill Gates aliwahi kuhutubia utabiri wake kuhusu virusi hivi vya corona miaka iliyopita 2018 na kudai virusi vya corona vitaua mamilioni ya watu , hii ilikuwa ni sehemu ya mipango ya illuminati, hata David Goldberg, aliwahi kuonya kwamba virusi vya corona ni tukio ambalo litatokea mwaka 2020, kwenye maneno yake ya mwisho kabla hajauawa.

Ilisemekana virusi vya corona vinatokana na supu ya Popo na China wanapenda sana supu hiyo, hivyo wataalamu walidai chanzo cha Corona ni matumizi ya supu ya Popo, huko nchini Libya Serikali ya nchi hiyo iliwahi kukamata virusi vilivyokuwa vimepangwa kusambazwa kwa makusudi nchini humo. Hata nchini Tanzania serikali iliwahi kubaini kontena la kondomu aina ya stud lililokuwa na kondomu zilizopandikizwa tayari virusi vya ukimwi na kuyateketeza yote ili kunusuru raia wake.
Virusi vya corona huambukizwa kwa hewa na majimaji ya muathirika ,dalili zake ni pamoja na kuumwa kichwa, kukohoa sana kama mgonjwa wa kifua kikuu, koo kubana, mbavu kubana kukosa pumzi hadi mgonjwa kufa, jinsi ya kujikinga ni kuvaa Maski au kuziba pua na mdomo kwa kitambaa kisafi na kibaya zaidi hakuna dawa wala chanjo, pia ugonjwa unaambukiza Kabla ya kuonyesha dalili kwa muathirika, eneo ambalo muathirika atakuwa kaacha virusi hivyo, virusi hivyo vitakaa eneo hilo kwa muda wa wiki mbili na kisha hufa, maambukizo yake hayana tofauti na homa ya ini, yaani kwa kugusana au kushikana .
Taarifa ya kutoka (SVR) , Secret Foreign High Intelligence Service iliyovuja na kusomwa na chanzo cha Kremlin ,ilieleza kuwa virusi vya Zika vilitengenezwa kama silaha ya kibaiolojia na Mwenyekiti wa taasisi isiyo ya kiserikali alikuwa ni Bill Gates mmiliki wa Bill & Melinda Gates Foundation ( juga:Lebih.of 2.000 pregnant women in Colombia infected with zika virus)
Mwaka 1921 Margaret Sanger aliwahi kupewa fedha hizo na akaanzisha taasisi inayoitwa "American Birth Control League" (ABCL) ilipofika mwaka 1923 ABCL ilianzisha kitengo kingine kinachojulikana kama "Birth Control Research Bureau (BCRB) kwa lengo la kufanya tafiti mbalimbali za kudhibiti ongezeko la watu duniani.
Mwaka 1939 ABCL liliungana na taasisi nyingine na kuitwa Birth Control Federation of America (BCFA) na ilipofika mwaka 1942 BCFA ilibadili jina na kuitwa Planned Parenthood Federation (PPF) Tangu wakati huo hadi leo kumekuwepo na taasisi nyingi duniani kote zilizotokana na ABCL na hatimaye PPF ikiwa ni kazi ya familia ya wajenzi huru ya Van Duyn, kwa lengo la kutekeleza mipango ya illuminati kabla ya kuanzishwa kwa Serikali moja ya dunia.

Kuna mifumo mingi inayomilikiwa na Freemasons na kutoa fedha zake katika taasisi ya PPF ikiwa ni pamoja na FORD Foundation; Morgan Guaranty Trust, Z.S. Reynolds Foundation, Bill and Melinda Gates Foundation, pamoja na mifumo mingine mingi duniani.
Mwandishi William Cooper anaandika katika kitabu chake " Behold a pale Horse" Katika ukurasa wa 166-167 anasema, kwamba Planned Parenthood Federation, walifanya tafiti tatu zilizokuwa na lengo la kutafuta njia za kupunguza ongezeko la watu duniani.
Utafiti wa kwanza ulifanyika mwishoni mwa vita Kuu ya kwanza ya dunia, utafiti wa pili ulifanyika huko Huntsville, AL mwaka 1957 na utafiti wa tatu ulifanyika mwaka 1968, Tafiti zote tatu zilifikia hitimisho la kupunguza idadi kubwa ya watu duniani kwa kutumia njia yoyote ile iwezekanavyo Kutokana na tishio la kasi kubwa ya ongezeko la watu.
Muumini wa Freemasons na Msomi mkubwa katika fani ya utabibu Dr. Aurelio Peccei alibaini uwezekano wa Janga lililojulikana kama "Black Plague" na hatimaye Janga hilo likapewa jina la AIDS ,William cooper anasema kwamba Illuminati na Freemasons wanayo tiba ya Ukimwi hata Kabla ya kulipuka kwa ugonjwa huo lakini hawawezi kutoa tiba hiyo hadi idadi hiyo ya watu imepungua kwa kiasi kitakachowaridhisha.
Dr Aurelio Peccei alishirikiana na madaktari kadhaa kutengeneza AIDS ambapo mmoja wa madaktari hao alikuwa ni Dr Wolf Szmuness aliyesoma na kuishi kwenye chumba kimoja na Marehemu Papa yohana Paulo II, ni mpango wa wajenzi huru kupunguza idadi ya watu kwa njia mbalimbali kutokana na madai kwamba watu wengi siyo wazalishaji bali watumiaji na kwamba ni vigumu kwa Serikali moja kutawala na kuhudumia mabilioni ya watu wasio na faida katika uchumi wa dunia.
Katika kutimiza mpango wa Marekani WHO iliwahi kushirikishwa katika kikao cha kupunguza idadi ya watu maarufu kama mkutano wa Henry Kissinger ,ulioitwa NSSM au Security Study Memorandum 200 au (NSSM -200) ajenda hii ilitangazwa jumanne ya Desemba 10, mwaka 1974, kuzindua ugonjwa wa ukimwi duniani, mwaka 1980 wakatangaza kwamba "dunia ipo huru dhidi ya Ugonjwa wa ndui, ugonjwa uliodumu kwa kampeni ya miaka 13 ya chanjo, kampeni ya ndui ilianza mwaka 1967, WHO mwaka 1980 ikatangaza kwamba ndui imefutiliwa mbali, ghafla mwaka 1981 ikatangaza chanjo ya ndui yaanzisha Ugonjwa wa UKIMWI, kiasi cha waafrika milioni 100 wanaoishi Afrika ya kati walichanjwa na WHO.
Hilo linakwenda Sambamba na uanzishwaji vita ya tatu ya dunia, ingawa vita ya tatu ya dunia imepangwa kutumia muda mfupi zaidi ukilinganisha na vita kuu mbili zilizotangulia lakini inakadiriwa kwamba watu wengi Zaidi watauawa katika vita ya tatu ya dunia kuliko vita mbili kuu zilizopita hii ni kwasababu teknolojia ya silaha za kivita imeongezeka ikilinganishwa na miaka iliyopita.
Hitler alitangaza mwanzo wa vita kuu ya pili ya dunia vita kuu ya pili ya dunia ilianza mwaka 1939 na kuchukua miaka 6 yaani mwaka 1945.Inasemekana idadi ya watu waliolengwa kupoteza maisha ni zaidi ya idadi ya watu waliopoteza maisha wakati wa vita kuu mbili zilizotangulia kwa pamoja na kujumlisha watu waliopoteza maisha wakati wa mateso makali ya mnyama wa namba 666 kuanzia mwaka 538 hadi mwaka 1798. Historia inasema kwamba jumla ya watu milioni 37 waliuliwa Kwenye vita kuu ya kwanza ya dunia ambapo kati ya hao milioni 27 walikuwa ni raia lakini pia jumla ya watu milioni 80 waliuliwa Wakati wa vita kuu ya pili ya dunia.
Idadi hiyo ilikuwa ni asilimia 3 ya jumla ya wakaazi wa dunia kwa kipindi hicho waliokadiriwa kufikia watu bilioni 2.3 na wakati wa mateso yaliyofanywa na Mnyama wa namba 666 jumla ya watu milioni 150 walipoteza maisha yao kwa sababu ya kutetea ukweli. Kwa sasa tunaambiwa dunia inakadiriwa kuwa na wakazi jumla ya bilioni 7 hadi mwaka 2011 ambapo wajenzi huru wanaona kuwa idadi hiyo ni kubwa sana kuweza kutawalika kirahisi na kwamba wengi wa wakazi wa dunia hii ni watumiaji tu ( consumers) na siyo wazalishaji ( producers) na ndiyo maana kuna uhaba wa chakula, makazi bora, afya bora, na vita na machafuko yasiyo na mwisho. hata hivyo si kweli kwamba wingi wa watu ndio unaosababisha machafuko na njaa bali kusudio lao kuu ni kupunguza idadi ya watu ikiwa ni njia mojawapo ya kumsaliti Mwenyezi mungu ambaye alishasema watu wazaliane kwa wingi ili kuijaza dunia.
Hivyo nawasihi sana ndugu zangu muweni makini sana na chanjo ya korona kwani huu ni mojawapo ya mpango wa freemason na dini ya kishetani kupunguza idadi ya watu duniani.

NINI MAANA YA 666?
Wakristo wengi wanafahamu kuwa 666 ni alama ya mnyama yaani mpnga kristo (masih Dajjal kwa waisalamu). Moja ya hadithi za mtume aliandika kuwa, Hata kama ataleta machafuko makubwa duniani, neno kafir litakuwa limendikwa katikati ya macho yake. “ana macho mawili ila moja ni chongo. Hivyo mnyama huyo atakuwa na jicho moja linaloona`kama ilivyo kwenye nembo ya freemason yenye jicho moja katikati”
Wasomaji yawapasa kuelewa maana na tafsiri ya alama/namba 666. Alama/namba hii 666 imetokana na tafsiri ya namba za kigiriki kuja kwenye lugha ya kingereza ambapo jina hilo huwakilisha jina la kiumbe afahamikaye na wengi kama mpinga kristo.
Wagiriki wa zamani kila herufi ilikuwa na thamani ya namba Fulani, na namba 6 ilikuwa na thamani ya herufi W. hivyo 666 ni sawa na WWW kama inavyotumika katika intanet. Kwenye mtandao/intanet kulikuwa na uwezo wa kutumia herufi nyingine kuliko www, na pia kungekuwa na uwezo wa kutumia w moja au ww ziwe mbili lakini waanzilishi wa mitandao wakaamua kutumia www kama inavyotumika kwenye mitandao mingi mfano www.facebook.com, www.instagram.com, www.twitter.com, www.gmail.com, n.k. hivyo niwazi kuwa waanzilishi na watengenezaji wa mitandano watakuwa na ushirika wa namna moja au nyingine na mpinga kristo na ndio maana mitandao yote inaanza na jina la mnyama na sio vinginevyo.
Pia sarafu ya ulaya (EURO) ina nyota sita (6) upande wa juu, nyota sita (6) nyingine upande wa chini na mistari sita (6) inayounganisha nyota hizo ambapo hutengeneza jina la mnyama la 666. Lakini pia kuna mashirika na kampuni kubwa duniani ambazo zina viashilia vya kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na mpinga kristo kama vile Vodafone, waly desney, child care council na google chrome.


katika bunge la ulaya, lina viti 679 mathalani kila kiti kina namba na jina la mtu au mtungasheria mmoja anayekalia hicho kiti. Kila kiti mhusika wake anayekikalia yupo ispokuwa kiti kimoja tu ambacho ni kiti namba 666. Kiti hicho huwa hakikaliwi na mtu kumaanisha kwamba mhusika wake hajafika japo uwepo wake wanautambuna na kumtayarishia mazingira ya ujio wake.

Kusudi la freemason chini ya huyo mpinga kristo ni kuanzisha sera zinazoporomosha uchumi wa dunia na kuwatia wanadamu umaskini na kuwafanya watumwa na ombaomba daima. Njia nyingine anayoitumia Dajjal yaani mpinga kristo kuwafanya watu wamfuate ni kusambaza maradhi. Atakuwa na uwezo wa kusambaza maradhi na kuyatibu kiusahihi na kwa hali hiyo atawavuta wengi katika dini yake ya freemason au kiuwazi zaidi ya kishetani kama inavyoandaliwa na mpango wa New world order .

Friday, 28 April 2017

April 28, 2017

AMBER LULU ATOA MAKAVU

Amber Lulu amchana mzazi mwenzake na Young Dee

Mrembo anayepamba video za muziki, Amber Lulu amemtaka mama wa mtoto wa msanii Young Dee kuacha kumfuatilia mpenzi wake huyo kwenye mitandao ya kijamii bali aendelee na kumlea mtoto wake vizuri. 

Amber Lulu amefuguka hayo baada ya tetesi kuenezwa mitandaoni na Mamisa (mzazi mwenzake na Young Dee) kwamba mrembo huyo ndio chanzo cha mahusiano yake na rapa huyo kuharibika hali inayosababisha yeye kushindwa kupata huduma kwa mzazi mwenzake. 

"Mimi namshauri kila siku Mamisa aache kuleta mambo ya kifamilia kwenye mitandao. Young Dee ni msanii na anawatu wengi sana anaojuana nao. Anavyoendelea kuanika mambo ya Young Dee hadharani anazidi kumuharibia. Mimi sina chochote cha kufanya na Young Dee kwa sababu sisi tumeshakuwa marafiki na hakuna mahusiano zaidi ila yeye namshauri aachane na mitandao alee mtoto"- alifunguka Amber Lulu 


Hata hivyo zipo taarifa za awali ambazo zinadai Mrembo Amber Lulu alishawahi kuwa kwenye mahusiano na Paka rapa Young Dee na ukaribu wao ndio unaomtesa mama wa mtoto wa Young Dee.