DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Saturday, 25 March 2017

FAHAMU ZAIDI KUHUSU UGONJWA WA TYPHOID NA TIBA YAKE

Ujue Ugonjwa Hatari wa Homa ya Matumbo (Typhoid fever) na Matibabu Yake


TYPHOID FEVER

Homa ya matumbo

Homa ya matumbo husababishwa na bakteria anayeitwa Salmonella Typhoid. Ugonjwa huu huambukizwa kwa mtu kula au kunywa chakula au maji yalio na kinyesi cha mu aliyambukizwa. Bakteria hawa hutoboa na kunyonya chakula kwenye matumbo ya binadamu.

Dalili ya Maradhi:

Homa kali

Kutoka kwa majasho mengi

Kuharisha (bila ya kutoa damu)

Mara nyingine, vitone vyekundu huonekana kwenye mwili.

Kwa kawaida, homa ya matumbo isipotibiwa hugawanyika katika hatua nne, kila hatua ikichukua takriban wiki moja.

Katika wiki ya kwanza:

Joto la mwili huongezeka

Kichwa huuma

Kukohoa

Damu kutoka kwa pua, ingawa tukio hili huwa ni nadra kutokea.

Maumivu ya tumbo pia huweza kutokea

Katika wiki ya pili:

Homa huongezeka

Mgonjwa huanza kupagawa, kama mwenda wazimu

Vitone vyekundu huanza kutokea kwenye kifua

Mgonjwa huharisha, takriban mara sita au nane kwa siku.

Kutapika kwa mgonjwa

Ini la mgonjwa huvimba

Homa ya mgonjwa huongezeka katika wakati wa alasiri kwenye wiki ya kwanza na ya pili.

Wiki ya tatu:

Matumbo hutoa damu.

Matumbo hutoboka

Wiki ya Matibabu[hariri | hariri chanzo]

tatu ikimalizika, homa huanza`kutilia. Hii huendelea hadi wiki ya nne.

Matibabu kwa dawa za kizungu

Mara nyingi, homa ya matumbo haiuwi binadamu. Dawa kama ampicillin, chloramphenicol, trimethoprim-sulfamethoxazole, Amoxicillin and ciprofloxacin hutumika kutibu wagonjwa katika nchi zilizoendelea.

DAWA YA KUTIBU HOMA YA MATUMBO DAWA YA TIBA ASILIA

FANYA HIVI:  Chukuwa Glasi 4 za Maji tia ndani ya jagi la maji changanya na nusu kijiko kidogo cha chumvi ya unga. Kisha tia ndani yake vijiko 6 vidogo vya sukari, kisha koroga vizuri hayo maji.

Matumizi yake:  kunywa asubuhi kabla ya kula kitu glasi 1 mchana glasi 1 Jioni Glasi 1na usiku glasi 1 kila siku dawa ikiisha tengeneza dawa ingine utumie hiyo dawa kwa siku 30 utaweza kupona.

Hatua za kuzuia kupata homa hii

Usafi wa mazingara na wa kibinafsi ni hatua bora ya kujikina kutokamana na ugonjwa huu.

Homa ya matumbo haiathiri wanyama kwa hivyo maambukizi ni kutoka kwa binadamu mmoja hadi mwingine.

Homa hii hueza kuenea kwenye mazingara ambayo kinyesi cha binadamu hutangamana na vyakula vyao. Upishi wa makini na uoshaji mikono ni kingo bora zaidi kwa kuzuia maradhi haya kuenea.

Chanjo ni za aina mbili: moja inayotiwa kwa njia ya mdomo iitwayo Ty21a (au Vivotif Berna) na nyingine ya sindano kwa majina Typhim Vi iliyotengenezwa na Sanofi Pasteur au Typherix iliyotengenezwa na GlaxoSmithKline.

Ukitumia Dawa hujapona unaweza kunitafuta nikupe Dawa ya kuweza kukutibu ukapona kwa haraka zaidi.

Ukiwa na Shida yoyote ile

Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu

Download app yetu kwa kutumia browser ili kupata habari Mpya punde tu zinanotokea kwa kubonyeza hii link
     http://www.appsgeyser.com/4699621/NESTORY

No comments: