ALICHOKIANDIKA MZEE MAJUTO SIKU YA JANA
Published Under habari
Siku moja baada ya Nape Nnauye kuondolewa katika nafasi yake ya Uwaziri, alikutana na wanahabari ambapo moja ya vitu alivyozungumza ni pamoja na kauli ya "Mbegu hufa kwanza kabla ya kuota" basi Kupitia ukurasa wa Instagram wa nguli wa sanaa ya maigizo King Majuto ameposti picha hiyo huku akiyarudia maneno hayo yaliyotamkwa na Mbunge huyo wa jimbo la mtama
No comments:
Post a Comment