DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Tuesday, 2 May 2017

ASKOFU KUFANYA KUFURU DUCE DECENT WEARING EVENT

 Askofu kutoka mazuu record

Msanii wa bongofleva anaefanya vizuri kunako game ya music ndani na nje ya mipaka ya Tanzania 'ASKOFU' ambaye anatoka lebo ya mazuu rekodi anatarajiwa kufanya kufuru ndani ya wiki hii ambapo atapiga show ya kufa mtu,show hiyo inatarajiwa kufanyika siku ya ijumaa usiku kwenye chuo kikuu cha duce.
Show hiyo inayotarajiwa huhudhuriwa na watu zaidi ya elfu 10 huku wasiwasi mkubwa ukiwa ni ikiwa ukumbi huu utatosha,show hiyo itakuwa ni sehemu pia ya shindano la uhamasishaji wa kuvaa kiualimu linalofanyika chuoni hapo kila Mwana maarufu kwa DUCE DECENT WEARING EVENT,

 ikumbukwe pia kuwa kwa Mara ya mwisho Askofu alifanya show katika ukumbi wa Leda's club ambapo aliwakosha nyoyo watu NA kuwaacha wengi hoi kwani wengi hata baada ya muda wa show kuisha walionekana kutaka show hiyo iendelee.

Mwandishi wetu amefanya jitihada mbalimbali za kumtafuta Askofu ili kupiga nae story za jinsi alivyojiandaa na show hiyo lakini simu yake ilita bila kupokelewa.ambapo wadakuzi wa mambo walisema kuwa Askofu kwa sasa anakuwa bize ili kuhakikisha anajipanga na show hiyo vya kutoka.

'Unajua Askofu siku hizi anashinda akifanya mazoezi na madancer wake eneo la kwangozoma pub ' amesemaamesema mtu mmoja kwa sharti la kutokutajwa jina.

Mwandishi wetu atafika kwenye show hiyo inayosubiriwa na wengi ambayo pia atambatana na boss wake mazuu ili kuhakikisha haupiti na jambo lolote litakalo tokea 

No comments: