DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Wednesday 10 May 2017

SERENGETI BOYS WAPIGWA CHECK UP NA CAF MAJIBU KUTOKA MUDA WOWOTE

Caf yatafuta vijeba Serengeti Boys

Zikiwa zimesalia siku tatu kabla ya kuanza kwa fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana, Gabon,  Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limefanya vipimo MRI kwa wachezaji wa timu zinazishiriki fainali hizo.

Vipimo hivyo ni maalumu kwa ajili ya kutambua umri wa wachezaji hao.

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi alisema CAF ilifanya vipimo hivyo juzi na inatarajia kutoa majibu wakati wowote.

"Wameshapimwa na tunasuburi majibu wakati wowote, nikijulishwa nitakwambia,"alisema Malinzi alipohojiwa na gazeti hili.

Serengeti Boys imepangwa Kundi B katika fainali hizo ikiwa na timu za Mali, Angola na Niger na inatarajia kucheza mechi ya kwanza dhidi ya Gabon

No comments: