DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Friday 1 October 2021

BUMBULI ATOA TAMKO LA KISHUJAA:TUNATAKA KUKAA KILELENI



Kulekea mchezo wa kesho kati ya Yanga na Geita gold afisa habari wa klabu ya Yanga Hassan Bumbuli amesema anaitakia timu hiyo ushindi ili timu yao ikae kileleni.

"Kesho tunataka kushinda na kuongeza alama ili tukae kileleni mwa ligi maana kuna watu wanatubanabana pale tunataka kila mtu akae katika nafasi yake'. Bumbuli 

No comments: