DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Tuesday 20 June 2017

MAGONJWA SUGU YANAYOTIBIWA NA MCHAICHAI


Licha ya kuwa mmea huo Wa mchaichai hutumiwa ili kuleta radha na harufu nzuri katika kinywaji cha chai, mmea huo una faida kubwa katika mwili Wa binadamu.

Tukiachana na matumizi yake mengine kama vile kutengeneza pafyum,sabuni na dawa mbalimbali sambamba na kufukuzia wadudu kama vile MBU na NZI majumbani kwetu,mchaichai huo kama ilivyooneshwa katika picha hapo juu una faida kubwa sana katika afya ya binadamu kwani huponya magonjwa mbalimbali na kuepusha uwezekano Wa kupatwa na magonjwa kama ilivyooneshwa huku chini.

MAGONJWA YANAYOTIBIWA NA MCHAICHAI
1:kusafisha figo na njia ya      
 mkojo(kuondoa matatizo ya figo)
2:kuzuia kuharisha 
3:hupunguza na kuondoka maumivu ya  hedhi
4:husaidia mmeng'enyo wa chakula
5:hushambulia vidonda vya tumbo 
6:huondoa sumu mwilini mfano sumu zitokanazo na vyakula vya viwandani kama vile chumvi,sukari,mafuta ya kula nk
7:husaidia kuondoa majipu na mchafuko wa damu kwa ujumla
8:hukinga mwili dhidi ta saratani
9:huongeza CD4 za mwili( yaani huimarisha kinga ya mwili)

        MATUMIZI YAKE
chemsha mchaichai kisha kunywa bilauli moja ya maji hayo angalau Mara mbili  kwa siku kama una matatizo mojawapo kwati ya hayo yaliyoorodheshwa hapo juu.
Pia kama huna matatizo hayo unashauriwa kunya ama kuchanganya majani ya mchaichai katika kinywaji ukipendacho mfano chain na uji.

NB. Jizoeshe kutumia mchaichai katika maisha yako hata kama huna matatizo orodheshwa hapo juu kwani utaimarisha afya yako na utasahau kamwe kutumia vidonge maana kuugua kwako itakua nadra.
Pia kwa mama mjamzito unashauriwa kutumia mchaichai ili kupjnguza uwezekano Wa kizaa kwa upasuaji(oppression)