DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Tuesday, 11 July 2017

MAGONJWA YANAYOTIBIWA NA MMEA WA MPAPAI.


Mpapai nimojawapo wa mti wa mtunda ambao hutoa matunda almaarufu kama mapapai.licha ya tunda la mpapai kuwa na faida kubwa mwilini kama vile kuongeza damu,kuongeza vitamini C,kulainisha njia ya haja kubwa nk pia mmea huo hutibu magonjwa kadhaa yanayotusumbua kila siku mfano;- Malaria, pumu , ugonjwa wa inni na kifua.

MALARIA
Katika kutibu ugonjwa wa malaria chukua mbegu za mpapai,zikausha kisha zisage kisha changanya unga wake kijiko kimoja kwenye maji ya moto bilauli moja na utumie kutwa mara tatu kwa muda wa siku 5. AU.                                    
Chukua  majani ya mpapai chemsha kisha tumia bilauli moja kutwa mara tatu kwa siku 5 hadi 7.hapo ugojnwa huo utakuwa umekwisha kabisa.                                                                                                               


PUMU.    
Chukua maganda(magome) ya mpapai kisha uyakaushie ndani (yaani uyaanike ndani hadi yakauke), na pumu inapopanda yachome hayo majani kisha ujifukuzie moshi wake na baada ya kufanya hivyo tatizo lako litapoa.

INI.  
Ili kutibu tatizo la ini (ugojwa wa ini), chukua mbegu kavu 12-15 za mpapai kisha zitafune kwa muda kwa muda wa siku tano.hapo utakuwa umetibu tatizo la ini. Kwamba kila Siku utafune mbegu za mpapai angalau 12 hadi 15 kwa muda wa Siku 5.


KIFUA KIKUU.
Kwa mujibu wa wataalamu na wachunguzi wa mambo ya afya wanasema kuwa ulaji wa mapapai kwa sana kwa muda mrefu husaidia kutibu ugonjwa wa kifua kikuu. 
hivyo basi, kama wewe ni  mhanga wa ugonjwa huo wa kifua kikuu unashauriwa kutumia tunda la mpapai kila siku na kwa muda mrefu ili kuondokana na tatizo hilo