DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Thursday 27 July 2017

STYLE ZA MAPENZI ZINAZOLEGEZA KIZAZI



Watanzania wengi na waafrika kwa ujumla hasa vijana tumekuwa tukikopy vitu na mambo kutoka mitandaoni na kuvifanya sehemu ya maisha yetu. Kuna wimbi kubwa la kusambaa kwa video za utupu na ngono zinazochezwa hasahasa na wazungu.
Watu wengine huona na kujifunza style walizoziona na kufanya kama walivyoona pasipokujua madhara ya kiafya yanayoambata na style hizo.  Leo nimeamua kukuletea baadhi ya style zinazolegeza kizazi na kusababisha wimbi kubwa la kuharibika kwa mimba maana style hizo husababisha uume kufikia na kugusa sehemu isiyotakiwa kuguswa na uume.
Style hizo no kama ilivyooneshwa hapa chini