DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Monday 16 August 2021

CYPRIAN MUSIBA AIBUKA KIVINGINE BAADA YA KIMYA KIREFU

 Baada ya kutooneka kwa muda mrefu ndugu Cyprian Musiba Leo hii amejitokeza hadharani na kuongea na wandishi wa habari jijini Dodoma na kufunguka mengi huku akihamasisha watanzania kuungana katika kipindi hiki kigumu.

 kwa tarifa zaidi tazama hii video hapa chini



No comments: