DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Thursday 12 August 2021

TIBA RAHISI YA CHANGO LA UZAZI NA MATATIZO YA UZAZI

 MKUNDE PORI KIBOKO YA UZAZI/UTASA



MIZIZI YA MKUNDE PORI NA FAIDA ZAKE

■ Inasafisha kizazi

■ Inazibua mirija iliyoziba

■ Inaondoa sumu kwa wale waliotumia sindano za uzazi/vidonge vya uzazi.

■ Inakomaza mayai kwa wale wenye tatizo la mayai kutokukomaa na kusababisha mayai kutokupevuka

■ Inasogeza kizazi karibu kwa wale ambao vizazi vyao vipo mbali

■ Majani ya mkunde pori pia ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume

• Dalili mojawapo itakayokufanya ujue dawa hii ya mkunde pori inafanya kazi ni kwenda haja ndogo mara nyingi kuliko kawaida.
• Dalili nyingine ni tumbo kuvuta sana chini ya kitovu.
Usipoona dalili hizi usiogope maana ukubwa wa tatizo unatofautiana.


Lakini pia kama unasumbuliwa na chango la aina yoyote ile hasa chango la uzazi, mizizi ya mikunde pori ni dawa ya matumbo ya chango ambalo ni tatizo kubwa linalowakumba wanawake wengi kaytika kizazi cha sasa



Jinsi ya kuandaa dawa. 

chukua mizizi ya mikunde pori, osha viziri kwa maji safi kisha chemsha kwa muda wa dakika zisizopungua 30 kisha utatakiwa kunywa birauli(glass) moja kutwa mara tatu yaani asubuhi, mchana na jioni. unaweza kunywa kwa siku 5-8

ANGALIZO KWA WANAWAKE WATAKAOTUMIA KWA AJILI YA UZAZI, Ukinywa dawa hii hakikisha siku za hatari unakutana na mwenzi wako...na baada ya hapo usitumie dawa mpaka upime mimba kwanza maana mimba nyingine dalili zake huchelewa kuonekana hivyo unaweza ukanywa tena mimba kama imeingia ikatoka.


ANGALIZO
Wajawazito hawaruhusiwi kutumia.

No comments: