DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Monday 18 October 2021

WACHEZAJI 10 WA CLUB YA SIMBA WANAPOKEA MSHAHARA MKUBWA KWA MWEZI KULIKO WOTE


Hawa ndio wachezaji 10 wa klabu ya simba amabo wanalipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko wachezaji wengine 

                                                         10: JONAS  MKUDE  

 Analipwa Tsh milioni    6 kwa mwezi


9: TADEO  LWANGA  

 Analipwa Tsh milioni   6.5 kwa mwezi


8: JOASH  ACHIENG ONYANGO 

 Analipwa Tsh milioni  7 kwa mwezi


7: PAPE  OUSMANE  SAKHO

 Analipwa Tsh milioni   8 kwa mwezi


6: AISH  SALUM  MANURA 

Analipwa Tsh milioni  8 kwa mwezi


5:  RALLY  BWALYA 

 Analipwa Tsh milioni  9 kwa mwezi


4: JOHN RAPHAEL  BOCCO 

Analipwa Tsh milioni  10 kwa mwezi


3:  CHRISS KOPE  MUGALU

 Analipwa Tsh milioni   11 kwa mwezi


2:  MEDDIE  KAGERE 

 Analipwa Tsh milioni  12 kwa mwezi


1: BERNARD  MORRISON

 Analipwa Tsh milioni  12 kwa mwezi

Gusa link hiyo kwa ajili ya kupata burudani ya Muziki muda wote wote na Dealplus online radio
                                      https://onlineradiobox.com/tz/dealplus/?cs=tz.dealplus&p=1

No comments: