DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Thursday 7 October 2021

WHATSAPP KUTOFANYA KAZI KWA SIMU ZIFUATAZO KUANZIA NOVEMBER 1 MWAKA HUU

Kampuni ya whatsapp imeanza programu yake mwaka huu ya kuacha kufanya kazi na baadhi ya simu za zamani.

Kwa mujibu wa kampuni hiyo kuanzia tarehe 1 Novemba 2021 baadhi ya simu hazitoweza kuwa na uwezo wa kufanya kazi na Whatsapp.

Ifuatayo ni Orodha ya simu ambazo zitakosa uwezo wa kufanya kazi

SIMU ZA APPLE

Simu zote za Iphone zinazotumia mfumo wa iOS 9 ,hivyo kama simu yako haitakuwa na uwezo wa kupokea mfumo wa iOS10 basi hutoweza kutumia Whatsapp.Kwa sasa simu hii ni Iphone 4S iliyozinduliwa 2011.

Iphone SE(2016),Iphone 6S, na 6S Plus zenye mfumo wa iSO 9 zinaweza kupokea mfumo mpya wa iSO15 .

SIMU ZA SAMSUNG

Simu zitakazopoteza uwezo wa kuendelea kutumia Whatsapp ni Samsung Galaxy Trend lite,Galaxy Trend II, Galaxy SII,,Galaxy S3mini,Galaxy Xcover 2,Galaxy Core,Galaxy Ace 2.

SIMU ZA SONY

Sony Xperia Miro,Sony Xoeria Neo L ,Xperia Arc S.

SIMU ZA HUAWEI

Huawei Ascend G740, Ascend Mate,Ascend D1Quad XL,Ascend P1S,Ascend D2

SIMU ZA ZTE

ZTE Grand S Flex ,ZTE V956,Grand X Quad V987,Grand Memo

SIMU ZA LG

LG Lucid 2,Optimus F7,Optimus L3II Dual,Optimus L5,Optimus L5 II,Optimus L5 Dual,Optimus L3 II,Optimus L7,Optimus L7 II Dual,Optimus L7 II,Optimus F6,Enact,Optimus L$ II,Optimus F3,Optimus L$ II,Optimus L2 II,Optimus Nitro HD,4X HD,Optimus F3Q

SIMU NYINGINE

Alcatel One Touch Evo 7,Archos 53 Platinum,HTC Desire 500,Lenovo A820,Wiko Cink Five, Wiko Darknight.

Inasemekana kwamba simu za Android zenye mfumo wa Android 4 kushuka chini zitashindwa ku support program ya Whatsapp kuanzia mwaka 2022.

Pia simu zote za Iphone zenye mfumo wa iOS9 hazitakuwa na uwezo wa ku support programu hiyo ifikapo February 2022.

Taarifa hii ni kwa mujibu wa ripoti ya kampuni ya Whatsapp.

Source :Billy


Gusa link hiyo hapo chini kupata radha na burudani ya mziki wa kila aina kwa muda wote

                                           http://stream.zeno.fm/0vpamwqrg98uv

No comments: