DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Saturday 6 May 2017

DANCER WA JUSTIN BEIBER AMWEKA MJINI DESIGNER WA DIAMOND

baada ya kuwepo kwa tetesi nyingi kumhusi disegner Wa diamond platinum ambaye siku zahivi karibuni kuliibuka na tetesi nyingi na kuhusishwa na ugomvi kati yake na boss Wa wcb diamond platinum hatimaye amepata kiki nyingine kam alivyoeleza kwenye interview