DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Tuesday 2 May 2017

DAWA YA NAY YAPATIKANA BASAGA ATANGAZA VITA UPYA


Kwa muda mrefu toka mbabe wa nay wa mitego Basaga kuwakimya nay amekuwa akiibuka na misemo na vitisho vya ajabu kwa wasanii wenzake ambao amezoea kuwaonea hatimaye kimbaumbau baunsa maarufu kama Basaga ametangaza ujio wake mpya baada ya kutoka afrika kusini alipokuwa ameenda kwa ajili ya video ya Wimbo mpya
Hata hivyo Basaga hakutaka kusema Wimbo huo umefanyika studio gani ingawa habari za udukuzi zinasema huenda video hiyo ikawa imefanywa na mtu mzima GODFATHER