DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Monday 27 March 2017

DIAMOND AFANYA KUFURU YA PESA ANUNUA PETE KWA MILIONI 158

Diamond Afanya Kufuru ya Pesa,Anunua Cheni na Pete kwa Milioni 158...!!!


Pete na cheni mpya za Diamond Platnumz alizozivaa kwa wakati mmoja zina thamani ya shilingi milioni 158!

Hitmaker huyo wa Marry You amepost Instagram picha mbili zikionesha madini hayo kwa kile anachosema kuwainspire mashabiki wake.

“Thanks God for my new GOLD & DIAMONDS collection…i never thought i would be able to hang 50,000$ on my neck,” ameandika kwenye picha ya kwanza.

Kwenye picha nyingine ameandika, “Thanks God for your daily blessings never thought i would be able to walk with 22,000 $ on my Hand!!!… jus get inspired @sallam_sk don’t hate.”

Muimbaji huyo wikiendi iliyopita alitumbuiza show ya nguvu humo Muscat, Oman.

No comments: