DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Saturday 6 May 2017

HARMONIZE ATOA TAMKO KUHUSU WOLPER

Harmonize kaongea ukweli kuhusu yeye na Wolper

Mwimbaji wa WCB Harmonize amehojiwa na kuongea ukweli kwa mara ya kwanza toka zimeanza kusambaa stori za kuachana kwake na Mrembo wa Bongo movie Jackline Wolper.

Kwenye LEO TENA ya CloudsFM Harmo amekiri kwamba ni kweli wameachana japo alikuwa na malengo naye na asingependa kulizungumzia sana hili kwa undani na vilevile kwasasa hayuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na yeyote

”Siko kwenye mahusiano kwa sasa ni kweli nimeachana na Wolper’na kusema ukweli nilikuwa na mipango mingi na Wolper nyumbani nikampeleka lakini kila mwanadamu ana nyongo kwasasa sipo naye tena” -Harmonize 

 

 

No comments: