DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Tuesday 2 May 2017

KESI YA WEMA YAPIGWA KALENDA TENA

Kesi ya wema yaendelea


Upande wa Jamhuri umekamilisha upelelezi wa kesi inayomkabili Wema Sepetu ya kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Bangi.

Leo Mei 2, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakili wa Serikali Helleni Mushi alidai Kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika na kuomba kupangwa tarehe ya kuanza kusikilizwa.

Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa Tarehe 1 mwezi Juni mwaka huu.



No comments: