DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Sunday 7 May 2017

H BABA ATOA SWALI TATA LALETA MKANGANYIKO

H.Baba kamlenga nani?


ujembe mzito uliochiwa na  H baba umeletea maswali ya kuwa amelenga nani kwenye jumbe hiyo

Ukiona mtu povu linamtoka juu yetu ujue nayeye nimoja kati yawale wanaohesabu siku ndoa yetu #Ivunjike ila kwa uwezo wa Allah aibu inawashika #jitu zima linatuombea mabaya ila Mwenyezi Mungu ndie muweza wayoote #chunga Mali yako #usije ukaliwa wewe....


No comments: