DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Wednesday 28 June 2017

Chanzo na jinsi ya kuondoa sumu mwilini

Katika mwili Wa binadamu kuna sumu zisababishwazo na sababu mbalimbali has a vyakula tulavyo na vinywaji tunywavo.sumu huzo ndizo ziletazo madhara katika afya zetu sambamba na uchovu katika shughuli zote zinazotumia nguvu na zile zitumiazo akili. Sababu hizo ni kama ifuatavyo;

1:unywaju Wa pombe na madawa ya kulevya
2:kula sana (yaani kula chakula kingi na kula Mara kwa Mara)
3:ulaji Wa vyakula vta vuwandani
4:unywaji Wa vinywaji vyenye kemikali mfano soda


Jinsi ya kuondoa sumu hizo
1.kunywa maji mengi.Lita 2-4 kwa siku
2.kufanya mazoezi sana hasa kukimbia ili kuruhusu sumu kutoka kwa njia ya jasho
3.kunywa maji ya mchaichai angalau glass 2 kwa siku.
4.kuwa na mlo wenye mchanganyiko Wa matunda tu angalau siku 2 kwa wiki
5.ulaji Wa mboga za majanu hasa mchicha na matembele.ila visiive sana

         MAONI
Kuwa na mazoea ya kufanya mazoezi ili kupunguza uwezekano Wa kukumbwa na magonjwa mbalimbali sambamba na kupunguza ulaji Wa vyakula vya viwandani na vinywaji pia.