DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Sunday 2 July 2017

FAHAMU DALILI ZA MASHETANI KATIKA NJOZI

Sio kila ndoto uotayo ina maana au tafsiri yake.baadhi ya ndoto hutakona na mawazo yetu na shughuli za mihangaiko ya hapa na pale. Kwa mujibu wa wanasayansi wanasema kuwa Mara nyingi mtu huota ndoto zinazoendana na shuguli au mambo aliyoyafanya kutwa.mfano mtu huweza kuwaza ngono mchana then usiku akaota kuwa anafanya tendo hilo.
kuna baadhi ya ndoto hazirelate(hazihusiani) na tulichokifanyaga.ndoto hizo huweza kuwa ngumu kutafsrika na pengine huwa wazi na hutokea kama mtu alivyoota.ila baadhibya ndoto hizo huweza kuwa dalili mbaya hasa dalili za majini(mashetani)

Ndoto hizo in kama vile;-
Kuota mara kwa mara unafanya ngono.
Kuota upo kwenye maji au mvua.
Kuota unambembeleza mtoto.
Kuota ndoto za kutisha mara nyingi.
Kuota unapaa .

Licha ya hizo ndoto kuna dalili nyingine kama vile;-
Viungo kuwaka moto.
Kusisimka nywele mara kwa mara
Kuhisi kuna kitu kimesimama pembeni yako lakini mara tu unapogeuka huoni kitu.
Kubadilikavadilika kwa Siku za hedhi.
Kutafunatafuna mdomo uwapo usingizini.
Kucheka,kulia au kuongea uwapo usingizini.
Ujauzito kuharibika mara kwa mara.

                  

No comments: