DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Thursday 22 June 2017

NDOTO MBAYA NA TIBA YAKE

Kuna watoto wanaostuka usiku na wengine kulia kwa ghafla kila mara usku wa manane, hii inaweza kuwa malaria au mapepo ya aina mbali mbali yenye kushirikiana na wachawi wenye kusumbua watu wamelala.
Kuna wakati unaweza kuta umechanjwa au umekwaruza mikwaruzo ya mwilini kama vile nyasi zimekukata lakini mirefu na unapolala hakuna nyasi wala, hii hata watoto uchanjwa na kunyolewa nywele pia watu wazima mpaka mvi hukuta zimenyolewa. Hii yote ni nguvu za giza zenye lengo la kukuathiri kisaikolojia na pia kiafya kwani husuda na wivu ni chanzo cha jamaa, marafiki, majirani na watu wengine wenye roho za kishirikina na wasipende wenzao kuona wanafanikiwa kimaisha na kuishi kwa amani kwenye nyumba zao.

Kila tatizo lina jibu au njia ya kulitatua ila inatakiwa ujuwe njia sahihi na ndo utalitatua kwa haraka na kirahisi lakini kama utakuwa hujajua tatizo inakuwa tatizo namba mbili, mambo haya ya uchawi na mapepo yamekuwa mengi mno na shida watu wanajificha na kufanya kwa siri ili wapone kisha wanakosa huduma sahihi kwani hawaulizi kwa watu wenye uzoefu na tatizo ilo na wakawambia walitibiwa vipi na wapi walipata tiba sahihi!
Kufukuza nguvu zote za giza kama majini, wachawi na nyingine zote inatakiwa uwe na imani na Mungu mmoja wa pekee na umuombe muda wote na ufuate njia njema ya kumuabudu yeye tu pia utumie dawa za kufukuza na kuondoa athari hizo.
Mfano kuna dawa ya mafuta ya kujipaka mwili kabla ya kulala inazuia majini na mapepo kusumbua usiku umelala na hata wachawi kuingia ndani ya nyumba ukimimina kwenye pembe za nyumba, milangoni,madirishani, nk kidogo tu inakuwa kazi kwa wachawi na mapepo kuingia kiushirikina kusumbua wewe na watoto.

Haya mafuta yanatokana na miti mitakatifu iliyotajwa katika vitabu vitakatifu vya Taurati, Injili na Qur’an na pia Mungu kaiapia miti hii na kwa hiyo ni chanzo cha kuamini utendaji wa mafuta kwa baraka za Mungu mmoja wa pekee mwenye uwezo juu ya kila kitu.

Madawa haya yanatibu sana magonjwa yanayotokana na nguvu za giza pia na maradhi mengine mengi kwa uwezo wa Mungu muumba mwenye huruma.

Powerful Oil- Jipake kabla ya kulala au mpake mtoto anayestuka na kulia mara kwa mara usingizini

MT32 -Zaidi ya dawa za asili 32 zimesagwa na kuwa unga unachemsha na kunywa kwa maradhi mengi mojawapo uchawi mwilini kuondoa, mishipa ya mwili, uzazi na miguu kuwaka moto

Powerful Soap- Hii sabuni iliyotengenezwa kwa mafuta ya miti iliyobarikiwa kama mizaituni, mwarobaini, na dawa zakufukuza nguvu za giza na kuondoa athari zake ukioga kwa uwezo wa Mungu mmoja wa pekee asiyekuwa na mshirika utaondokana na athari za nguvu za giza kama mikosi na nuksi yenye chanzo cha nguvu za giza.
Ukisha oga sabuni hii yenye povu jingi utakaa dak 5 na kisha jipangushe na jipake Powerful Oil kwa muda kuanzia siku 7 hadi 14. Kuendelea ni uamuzi wako na si mbaya kuoga sabuni hii muda mwingi kwani ni bora hata kwa ngozi.
Safisha -dawa hii ni ya kusafisha tumboni kuondoa uchafu na sumu hata kama ulilishwa uchawi unatoka kwa kuharisha, unatumia siku 3 basi, pia kama hupati choo inasaidia kupata choo vilevile.

No comments: