DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Wednesday 21 June 2017

SULUHISHO LA HARUFU MBAYA KWAPANI

Wakisemanjano, teyari inapunguza urembo wako, mtu akikuona atajua kabisa wewe ni mchafu.
watamke mwanamke mrembo hawataacha kutamka usafi ndani yake, usafi na usafi unahitajika kwa mwili wote, sasa leo tuone hiki kisehemu kidogo, lakini kikiamua kutoa harufu, kinakufukuzia mpaka marafiki, (KWAPA) Wanawake wengi wamekuwa wakioga, wanapulizia perfume kwenye makwapa kwa wale wenye uwezo, ili makwapa yasitoe harufu, lakini utakuta pamoja na kupulizia perfum bado sehemu ya kwapa inaacha alama ya
wengine wanasema kuwa ni Ugonjwa, uende hospitali, lakini kuna rafiki yangu anaitwa Nestory aliniomba nimfahamishe dawa ya kuondoa harufu mbaya kwapani pamoja na kutokwa na jasho la unjano jambo ambalo aliliona kwa Girlfriend wake.
So kwa niaba ya nestory na watu wengine wanaokerwa na tatizo kama hilo nimeamua kushea nanyi Leo hii kuwawaelezeni Dawa rahisi ya shuruhisho la tatizo hilo.
Nadhani kila mtu anajua au ashawahi kuona LIMAO AU NDIMU,basi ndimu au limau huweza kuondoa harufu mbaya kwapani bila kutumia pafyumu.
      HATUA ZA KUFANYA
1. unaoga unajikausha na taulo safi hasa makwapani,
2. unachukuwa Ndimu au Limao unakamulia kwenye mkono
3. unachukuwa yale majimaji ya ndimu unaanza kupaka kwenye kwapa,
kipingi cha kutumia limao /Ndimu pekeyake, huruhusiwi kutumia perfumu yeyote ile
unafanya hivyo kutwa mara mbili, asubuhi na jioni, na kwa wale wanaotoa harufu sana, basi wafanye hata mara tatu
USISUGUE, itakuchubua, unapaka taratibu tu! jaribu kwa muda wa siku tatu mfurulizo utaona mabadiliko na mashati hayataweka alama ya njano tena.
hapa hatumaanishi kwamba tusitumie perfume, maana nazo zina raha yake, zinafanya unukie vizuri sana,
ila kuna wale wenzetu ambao wanatoa jasho sana, kiasi kwamba imekuwa kero hata kwao, waweza tumia malimao kukata harufu hiyo, then ukishajiona uko okey, basi utaendelea kutumia perfumu.