DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Sunday 2 July 2017

MATUNDA YANAYOPUNGUZA NA KUONDOA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

Tatizo
la nguvu za kiume sio lazima ukatafute dawa kwa waganga ama kutumia dawa za kimasai ila kuna matunda tunayoweza kuyatumia na tatizo hilo la nguvu za kiume likapotea kabisa.
Najua tatizo hilo Linawakumba wanaume wengi wa kizazi hiki.
kwa mujibu wa watafiti mbalimbali wameorodhesha baadhi ya matunda yanayoweza kupungua na kumaliza tatizo la nguvu za kiume.

TENDE.
Chukua tende nyingi changanya katika maziwa ya mbuzi, baada ya SAA 12 zipecheke hizo ndani na hayo maziwa kisha chukua unga wa ukili na asali changanya na unywe kila siku asubuhi kabla hujala chochote.

NANASI.
kula slesi mbili za nanasi kutwa mara tatu.hapo utakuwa unatibu tatizo hilo la nguvu za kiume  taratibu.

KITUNGUU MAJI CHEUPE.
pondaponda kitunguu maji hicho kusha kaanga ndani ya mafuta ya samli kisha changanya na kijiko kimoja cha asali. Tumua kwa muda wa siku 30 kabka ya kula usiku.

MIZIZI YA MSONOBALI.
Chemsha mizizi hiyo pamoja na uteute wa katikati ya mifupa ya ng'ombe(synovia fluid).tumia  bilauli moja kwa siku 21.

HINA.
Chukua unga wa hina changanya na maziwa ya moto kisha tumia bilauli moja kutwa mara tatu kwa Siku 30.

Ukitumia njia moja kati ya hizo ninahakika tatizo lako litapungua kama sio kuisha kabisa.

No comments: