DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Tuesday, 4 July 2017

TIBA RAHISI YA VIDONDA VYA TUMBO KWA KUTUMIA MATUNDA

Vidonda vya tumbo moja wapo ya tatizo lishambulialo idadi kubwa ya watu wakiwemo wanafunzi na wafanyakazi maofisini.
Leo nimeamua kudokeza kidogo juu ya matunda ambayo huzuia na kusaidia kuondokana na tatizo la vidonda vya tumbo.matunda hayo ni kama vile:-
                            MATANGO
Ulaji wa matango kwa wingi  husaidia kuondoa vidonda vya tumbo.hivyo basi kama wewe ni mhanga wa vidonda vya tumbo unaweza kulifanya tunda la tango kuwa sehemu ya mlo wako kila ulapo.
            
                         MAPARACHICHI
Maparachichi pia hufanya kazi sawa na matango katika kupambana dhidi ya vidonda vya tumbo.
      
             
                     KOKOMANGA
Chukua kokomanga zitwange kisha changanya na na Asali then tumia vijiko viwili vya chakula kwa siku(yaani kimoja asubuhi na kimoja usiku) kwa muda wa siku 21.


Licha ya matunda hayo pia unashauriwa kunywa maji mengi kila siku ili kuepuka vidonda vya tumbo.kwa mujibu wa wataalamu wanashauri utumie maji angalau zaidi ya lita mbili kwa siku ili kuondoka na tatizo hilo.