DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Monday 3 July 2017

Sababu zinazowafanya watu kuugua sana siku hizi

Licha ya kuwa Siku hizi kuna magonjwa mengi yaliyoibuka ambayo hayakuwepo kipindi cha nyuma kama vile homa ya ini na saratani kuna visababishi vinavyopelekea watu kuugua sana.

Tukiachana na visababishi vya magonjwa kama vile VVU/ukimwi,TB, na magonjwa yote ya ngono kuna visababishi vilivyo ndani ya uwezo wetu ambavyo hupelekea magonjwa yasiyo ya lazima kutukumba kama vile saratani ya mapafu, BP, homa ya ini, magonjwa ya ngozi, magonjwa ya figo na njia ya mkojo mfano UTI, typhoid, safura na minyoo. Sababu hizo ni kama ifuatavyo:-

*Uchafu
*Kula sana
*Madawa ya kemikali.
*Vyakula vyenye kemikali.mfano vyakula vya viwandani
*Utumiaji wa dawa za kulevya.mfano sigara,pombe nk.
*msongo wa mawazo
*lishe duni (ulaji wa aina moja ya chakula kila siku)

No comments: