Mara nyingi watu wamekuwa wakifocus(wakitilia macho)sana katika tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pasipo kukumbuka kuwa pia wanawake wanakabili na tatizo hilo.
Upungufu wa nguvu za kike kwa wanawake huashiliwa na dalili kama vile:-
-kutojisikia au kuyokuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa
-Kuwa mkavu wakati wa tendo la ndoa
-Kujisikia maumivu zaidi ya raha wakati wa tendo la ndoa.

Ukiona dalili hizo ujue unanyemelewa na tatizo hilo ambapo huweza kusababishwa na vitu kama vile:-
-Utumiaji wa vidonge vya mpango wa uzazi pasipo ushauri wa . madaktari
-Magonjwa ya zinaa
-Chango la uzazi
-Kutofanya mazoezi
-Kisukari
-Kutokwa hedhi kwa muda mrefu.

Tiba yake
*Chukua pilipili manga robo na mdalasini robo zitwange zote upate unga wake.tia kijiko kimoja cha chai katika uji na utumie kwa muda wa siku 5 asubuhi na jioni.
*Siku ya sita chukua bahati soda ulinjani alikusiti udikaraha daaru filfil, jaza ujazo dawa zote ziwe sawa changanya na Lita moja ya asali.kisha tumia vijiko vitatu asubuhi na vitatu jioni kwa muda wa siku 14.
*Siku ya 15 chukua uwatu, pilipili manga na mdalasini changanya dawa zote kwa pamoja kunywa vijiko viwili kwa muda wa Siku tano.

Usisahau kibonyeza hapa chini
https://m.youtube.com/channel/UCE_uPKWhk-R-pLqPWFYdCEA/sounddream?sub_confirmation=1