DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Sunday 6 August 2017

TIBA RAHISI YA MARADHI YA NGIRI

Kwa wale wanaosumbuliwa na maradhi ya ngiri(yaani mshipa wa ngiri) nakushauri ufanye haya yafuatayo kabla hujachukua hatua ya kwenda hospitalini kufanyiwa upasuaji.

         Jinsi ya kutibu ngiri
Chukua mvinje bahari kisha utie kipende cha shubiri nyekundu, kisha chemsha vyote kwa pamoja na utumie (unywe) kikombe kimoja cha kahawa kila Siku asubuhi na jioni kwa muda wa siku 3
Shubiri nyekundu
Mvinje.                  
na tatizo lako litakuwa limefikia kikomo chake.