DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Sunday 6 August 2017

TIBA YA MARADHI YA CHANGO

Kama unasumbuliwa na maradhi ya chango kwa muda mrefu hasa wanawake, Leo ningependa kutumia fulsa hii kuwafahamisheni Tiba rahisi ya tatizo hilo.
               Jinsi ya kutibu chango
Chukua shomari mvuje bahari na bahati soda,zote ziwe robo robo.dawa hizi zote uzichemshe kwa pamoja  na maji ya madafu mawili kisha kunywa kikombe kimoja kila asubuhi na jioni kwa kwa muda wa Siku saba
Bahat soda
na hapo tatizo lako litakuwa limeisha kabisa

      Usisahau kubonyeza hapo chini

https://m.youtube.com/channel/UCE_uPKWhk-R-pLqPWFYdCEA/sounddream?sub_confirmation=1