DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Thursday 19 August 2021

TANZIA: MWALIMU KASHASHA AFARIKI DUNIA

 

Mchambuzi nguli wa mpira wa miguu hapa nchini Tanzania Alex Kashasha amefariki dunia leo tarehe 19/08/2021 wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya kairuki jijini Dar es salaam. Mwalimu kashasha alikuwa mchambuzi wa mpira wa miguu katika televisheni ya taifa na ikumbukwe kuwa mwalimu kashasha alikuwa na mchango mkubwa sana kwenye soka la Tanzania ambapo alikuwa akiwavutia wanasoka wengi kwa ubobezi wake katika tasinia hiyo ya mpira wa miguu. 

BWANA ametoa na BWANA ametwaa, jina lake lihimidiwe 




No comments: