DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Friday 27 August 2021

MAUAJI TENA DAR


Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam linamshikilia mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la  Mohamed Jumaa mkazi wa Kariakoo kwa tuhuma za mauaji ya walinzi wawili wa kampuni ya 40 security waliofahamika kwa majina ya Eliackim Moro na Sanko Bakari kwa kuwagonga na lori lenye namba za usajili T176 CYP  .

Tukio hilo limetokea jana agosti 26,2021 majira ya saa 12 jioni eneo la Tungi Katika wilaya ya Kigamboni jijini hapo

No comments: