DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Sunday 22 August 2021

WAZIRI GWAJIMA APONZWA NA KAULI YAKE YA KUTEST MITAMBO BAADA YA KUPATA CHANJO

 


Juma lililopita ,waziri wa Afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Dkt Doroth Gwajima, alisema hadharani kuwa mme wake ametest mitambo na kuona kuwa yuko fiti baada ya kupata chanjo ya UVIKO 19. waziri huyo alisema kauli hiyi wakati akihamasisha watanzania kuwa radhi kuipokea chanjo ya corona. 

kauli hiyo imeonekana kuwa kauli yaenye utata kidogo kwani ni kauli ambayo haikuzingatia maadili ya kiuongozi hali ambayo imempa upenyo Askofu Gwajima mbunge wa jimbo la kawe kuitumia kauli hiyo kama sehemu ya udhaifu wa kiongozi huyo.

Askofu Gwajima amesema hayo akiwa katika nyumba ya ibada leo siku ya jumapili alipokuwa akihubiri. kwa mengi zaidi tazama video hiyo hapo chini




No comments: