DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Sunday 22 August 2021

ASKOFU GWAJIMA NA MZEE GWAJIMA WAMKABILI WAZIRI DOROTH GWAJIMA


Leo jumapili tarehe 22 mwezi wa 8, 2021 Askofu wa kanisa na ufufuo na uzima Askofu gwajima akihubiri kanisani kwake amepata nafasi ya kumpa nafasi baba yake mzazi mzee Gwajima mara baada ya kurejelea kauliza mawaziri wa afya hali iliyopelekea mzee Gwajima kutuma salamu kwa waziri wa Afya Doroth  Gwajima na kumtaka aache kutumia jina la Gwajima kwa kutaka kuifarakanisha familia yake.
kwa habari zaidi tazama hiyo video hapo chini



 

No comments: