Hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake  iliyokuwa itolewe leo imeahirishwa hadi 15/10/2021.