DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Tuesday 2 May 2017

YOUNG DE AWASHANGAZA MASHABIKI

Young de awashangaza mashabiki


Msanii wa muziki wa kufoka, Young Dee ameachia wimbo wake mpya ‘Bongo Bahati Mbaya’ akiwa chini ya uongozi mpya wa producer wa Touch Sound, Mr Ttouch. 

Rapa huyo aliachana na uongozi wake wa zamani, Millian Dollar Boys (MDB) baada ya kushindwa kukubaliana baadhi ya vitu na uongozi wa label hiyo. 

No comments: