DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Monday 19 June 2017

NJIA RAHISI YA KUTIBU MENO BILA KUNG'OA


Matatizo katika afya ya kinywa na meno yamekuwa changamoto kwa watu wengi si tu nchini bali sehemu mbalimbali ulimwenguni.
Watu wengi wamekuwa wakilalamika vinywa kutoa harufu mbaya kama uvundo, fizi kutoka damu pamoja na kutoboka kwa meno kunapoambatana na maumivu makali kwa mhusika.
Hali hiyo imekuwa ni changamoto ambayo imesababisha kuibuka kwa waganga mbalimbali wa jadi (asili) wanaojinadi na kujinasibu kwamba wana uwezo wa kutibu matatizo yote yanaambatana na hitilafu katika afya ya kinywa.
Katika maeneo ya mijini ni jambo la kawaida kukutana na waganga wa aina hii wenye kudai kuwa wana uwezo wa kutibu jino bila kung’oa, kuthibiti harufu mbaya ya kinywa na fizi kutoa damu. Si mijini tu hata vijijini waganga hawa wapo.
Wengine wamekuwa wakijitangaza kupitia vyombo mbalimbali vya habari na kutokana na kukua kwa teknolojia na utandawazi matangazo yao yamewavuta wengi na wengi wametumia dawa hizo na baadhi kusifu kuwa zimewasaidia wamepona. “Nusura ning’oe jino, lakini nilipotumia dawa suala la kung’oa likaisha.” Baadhi husikika wakisifu.
Je kuna ambaye aliwahi kujiuliza kama kweli dawa hizo zinatibu na hazina madhara kwa watumiaji?
Je kuna ambaye aliwahi kufikiri kuwa dawa hizo hazitibu bali husababisha ganzi tu katika mishipa ya fahamu kiasi cha kumfanya mgojwa aamini kuwa amepona jino na halina haja tena kung’olewa?
Je kuna aliyewahi kujiuliza kuwa matumizi ya dawa hizo mbali ya kuleta madhara katika mishipa ya fahamu pia huweza kusababisha saratani ya kinywa?
Chaajabu ni kwamba ukishang'oa jino wadudu waliodhuru jino hawafi wanabaki kinywani na kuendelea kuleta madhara kwa meno mengine yakobakia kinywani.

   "Hivyo basi,kama meno yako yanauma pindi ulapo au unyapo kimyaji cha baridi au cha moto, meno yako yameoza na kuuma tatizo lako in dogo sana ukifuata haya"
 
Kuna njia rahisi ya kutibu na kumaliza tatizo hilo kabisa na kusahaulika maishani mwako bila gharama zozote zile.ispokua unatakiwa uwe na kokwa la parachichi(avocado)

JINSI YA KUANDAA HILO KOKWA KUPATA DAWA.
chukua kokwa la parachichi likatekate katika vipande vidogovidogo kisha vianike juani kwa siku kadhaa hadi vikauke 
Kisha visagesage na kupata unga Wa hilo kokwa

            MATUMIZI
Chukua maji ya moto bilauli moja kisha changanya na unga Wa hilo kokwa kijiko kimoja cha chai kisha funika hadi maji yapoe na kuwa ya uvuguvugu.
Baada ya hayo maji kupoa piga pafu moja sukutua kwa muda Wa kama dakika mbili  kisha tema na piga pafu jingine na usukutue tena na baada ya dakika kama tatu tema tens.Fanya hivi Mara tatu (yaani pafu tatu) asubuhi kabla hujapiga mswaki na jiaoni pia kabla ya kulala.
Fanya hivyo kwa siku 5-8 mfululizo na baada ya hapo tatizo lako la meno kuuma,meno kuoza na kuhisi maumivu pindi ulapo vyakula vya moto au vya baridi.