DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Monday 23 August 2021

AJALI YAUA WATUMISHI WATANO WA TRA

BreakingNews
Watumishi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kikosi kazi cha Fast Track wamefariki kwa ajali katika eneo la Hanseketwa - Old Vwawa wakati wakifukuzana na gari iliyodhaniwa kubeba magendo.


Ajali hiyo imetokea alfajili ya Leo baada ya gari walilokuwa wamepanda aina ya Toyota Land Cruiser kugongwa kwa nyuma na lori la mizigo aina ya Fuso leo Agosti 23, 2021 majira ya saa 11 alfajiri katika eneo hilo la Hanseketwa wilayani Mbozi, Songwe.

No comments: