DEAL PLUS

Karibu DEALPLUS BLOG uweze kupata habari za Michezo, Siasa, Afya na Burudani kutoka ndani na nje ya nchi.

Breaking


Monday 9 August 2021

MWANAFUNZI KIDATO CHA TATU AMUUA MPENZI WAKE KWA KUMCHOMA KISU.



Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya upili ya Aneko katika Kaunti ya Migori Jumapili jioni alichomwa kisu hadi kufa na mpenzi wake kufuatia mzozo unaoshukiwa kuwa wa kimahusiano.


Mkuu wa eneo hilo David Okoth alisema msichana huyo mwenye umri wa miaka 17 alikuwa anatoka shuleni wakati mpenzi huyo wa miaka 20 ambaye alikuwa amejihami kwa kisu na kumchoma hadi kufa.

No comments: