Kikosi cha mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara 2020/21, Simba ya Dar es Salaam, kimeingia kambini leo Jumatatu kujiandaa na msimu ujao.Miongoni mwa wachezaji walioripoti ni kiungo Jonas Mkude ambaye alikuwa amesimamishwa kwa utovu wa nidhamu.
No comments:
Post a Comment