- Mvulana huyo mwenye umri wa miaka 13, anadaiwa kuchukuwa bastola ya baba yake iliyokuwa mezani na kujifungia ndani ya chumba chake
- Baba yake na mama yake walikuwa wakizungumza wakati walisikia mlio wa risasi ukitoka chumbani kwa mtoto huyo
- Baada ya kuvunja mlango, kamanda huyo wa polisi aligundua kuwa mwanawe alijipiga risasi upande wa kushoto wa kichwa na risasi ilitokea upande wa kulia
- Mtoto wake Kamanda wa Polisi wa eneo la Kaskazini Mashariki, Patrick King'ori Macharia amefariki dunia baada ya kujipiga risasi na bastola ya baba yake.
- Kulingana na ripoti ya polisi, mvulana huyo mwenye umri wa miaka 13, anadaiwa kuchukuwa bastola aina ya Jericho kutoka nyumbani kwa baba yake mtaani Ruai kabla ya kujifungia ndani ya chumba chake.
- Macharia anadai kuwa wakati huo alikuwa akizungumza na mkewe na kujinafasi kuenda choo kisha walisikia mlio wa risasi ukitoka chumbani kwa mtoto huyo.

Monday, 3 October 2022
MTOTO WA KAMANDA WA POLISI AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI
Recommended Articles
- kimataifa
TBS YAKUTANA NA WADAU WA VIWANGO KUHAMASISHA USHIRIKI KATIKA UANDAAJI VIWANGONov 15, 2022
Mkurugenzi wa bodi ya TBS, Dkt. Eliapenda Mariki akifungua warsha ya wadau kuhusu ushiriki katika uandaaji wa viwango iliyofanyika mapema jana M...
- breaking news
KOSTROMA; DEADLY FIRE IN RUSSIAN BAR STARTES BY FLARE GUNNov 05, 2022
A fire in a bar in the Russian city of Kostroma has killed at least 13 people.Authorities say it may have begun when a drunk customer at the nightclub...
- afya
NO NATIONWIDE EBOLA LOCKDOWN, PRESIDENT YOEL MUSEVENI VOWSNov 05, 2022
President Museveni on Friday reiterated his refusal to impose a nationwide Covid-like lockdown to contain the spread of Ebola despite a worrying...
Newer Article
UNAFUU WA VIWANGO VIPYA VYA TOZO ZA MIAMALA NA BENKI.
Older Article
ALIYEFUNGWA GEREZANI AKIWA 18 AACHIWA AKIWA NA MIAKA 100
in
kimataifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment